NYUMBA YA GHOROFA MOJA INAUZWA BUNJU (A) BEACH.
INA VYUMBA VINNE VYA KULALA (4 BEDROOMS).
UKUMBI.
SEHEMU YA KULIA CHAKULA (DINNING ROOM).
ENEO LINA UKUBWA WA FUTI ZA MRABA 1600 (1600 SQM).
LINA HATI MILIKI KUTOKA WIZARANI.
NYUMBA NI YA KISASA.
KUNA NYUMBA YA NJE NZURI SANA (SERVANT QUARTER).
MAJI YAPO NA UMEME.
UZIO WA UKUTA (FENCE).
NA HUDUMA ZOTE MUHIMU ZIPO IKIWEPO ULINZI, HOSPTAL, KANISA, MSIKITI NA VINGINE.
KARIBU SASA UISHI BEACH.
Last 25 hits by Traffic Boost Community
Visited At | Location |
---|---|
No results found. |